Binti wa Miaka 19 Amuua Mpenzi Wake Kwa Kumchoma Kisu

Bomet, Kenya..Polisi wanamshikilia binti huyo kwa tuhuma za mauaji. Inaelezwa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mgogoro kuhusu fedha anazopata Mwanaume huyo

Mwanaume huyo alifariki wakati akikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Longisa baada ya kujeruhiwa kwa kisu shingoni

Baada ya upekuzi wa Polisi ndipo kisu kinachoaminika kutumika kilikutwa kwenye nyumba wanayoishi 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad