Breaking News: Mdude Nyagali Apatikana Akiwa Katika Hali Mbaya



Mdude Nyagali maarufu ‘Mdude Chadema’ alichukuliwa na Watu wasiojulikana akiwa ofisini kwake Vwawa, Mbozi mkoani Songwe siku 4 zilizopita‬

Mdude amepatikana katika kijiji cha Makwenje, kata ya Inyara mkoani Mbeya

Inadaiwa amepatikana usiku huu akiwa katika hali mbaya‬ ingawa anajitambua na anazungumza kwa mbali(sauti ya chini)

Amekutwa na kadi ya chama chake(CHADEMA) na kitambulisho cha Mpiga Kura
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad