Davina Atoa ya Moyoni kwa Waouponda muonekano Wake

MREMBO kutoka Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amefungukia muonekano wake mpya na kusema anashukuru umekubalika na wengi japokuwa wachache wamemponda.



Akipiga stori na Amani, Davina alisema ameamua kunyoa nywele ili kuendana na matakwa ya tamthiliya mpya anayoigiza, lakini anachokiona ni kwamba baadhi ya watu hawajaukubali na wamekuwa wamkimponda mitandaoni bila kuelewa sababu.



“Imenibidi ninyoe kutokana na character (uhusika) katika series mpya ambayo naifanya, I don’t care ilimradi tu nimefanya kwa ajili ya kazi yangu licha ya baadhi ya watu kuponda,” alisema Davina na kuongeza; “Soon mtaona nilichofanya katika Single Mama Series…wanaoponda acha waponde siwezi kuwazuia.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad