Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na  Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini leo tarehe 1 Mei, 2019, katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es salaam. Mazungumzo hayo yamejikita katika  kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na EU  hususan katika nyanja za elimu na udhibiti wa biashara haramu ya dawa za kulevya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad