Drake Ashinda Tuzo za Billboard Music 12 kwa usiku mmoja

Msanii wa muziki nchini Marekani, Drake ameshinda tuzo 12 usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za Billboard Music.

Kwa Drake ndiye msanii anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo hizo mara nyingi zaidi.

Ana Jumla ya tuzo 27 ikiwa ni pamoja na 7 alizozishinda pia ndani ya usiku mmoja kwenye Tuzo za mwaka jana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad