Edo Kumwembe "Yanga Wanajua Jinsi ya Kusahau Matatizo Yao Kwa Utani wa Salamba Kuomba Kiatu"


From #edokumwembe  
"Ever Banega...naliona jina hapo katika kiatu.. Kiungo wa National team Argentina.. Salamba hata Afcon haendi.. Hamuoni gap hapo? Hakuna aibu kuomba kiatu.. Wazungu wanaita souvenir..kumbukumbu ya maisha yako..tujikumbushe kwamba hata Samatta anaweza kumuomba viatu Messi.. Sio kwa sababu ya umaskini.. Sababu ya souvenir..lakini hatulioni pia gap la Sevilla na Simba? Kwamba mchezaji wa Simba ni sawa tu na wa Sevilla? Ujinga..ndo Maana hatujifunzi.

Wawa katoka taifa kubwa la soka lakini kumbe aliacha simu katika benchi..akakimbilia akapiga selfie.. Wale ni Sevilla jamani..anyway nawapenda Yanga jinsi wanavyoihenyesha Simba kwa utani..wanajua jinsi ya kusahau matatizo yao na kuwachapa Simba na issue Kama hizi..

Bodaboda.. Kiatu.. Otherwise hakuna cha ajabu alichofanya Salamba..yule ni EVER BANEGA ambaye ana utajiri wa dola milioni 19 kwa mujibu wa Forbes...yeye ni Adam Salamba..anamiliki crown tu.. NIMEFUNGA KESI "-  Kumwembe
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad