Historia Imeandikwa Air Tanzania...Ndege Yaendeshwa na Marubani Wanawake Pekee

Wanawake marubani wa kwanza Air Tanzania (kuendesha ndege wakiwa wanawake wawili peke yao), hii inatokea kwenye ndege ya Bombardier Q400-8 TC104/5 Dar to Kilimanjaro, Kilimanjaro to Dar. .


Comment Neno la HONGERA kuwapongeza wanawake Hawa mashujaa

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad