Jack Cliff Bado Yupo Gerezani..Ubalozi Wadhibitisha

Baada ya taarifa kwamba Jackline Cliff amerudi uraiani baada ya kufungwa gerezani China zaidi ya miaka mitano iliyopita kwa kosa la kukamatwa na dawa za kulevya, Ubalozi wa Tanzania China umethibitisha kwamba Mtanzania huyo bado yupo gerezani Macao China japo Ubalozi hauna taarifa ataachiwa lini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad