Jaji Agustino Ramadhani "Mwaka 1995 Tulipendekeza Uchaguzi USIMAMIWE na Watu Huru

Jaji Ramadhan aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mwaka 1995, amesema wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka huo waliajiri wafanyakazi huru

Amesema utaratibu huo umebadilika na jukumu hilo sasa linatekelezwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji na Manispaa

Jaji Agustino ametoa maoni hayo wakati Mahakama Kuu kanda ya Dar imesitisha vifungu vya sheria ya uchaguzi vinavyowapa uhalali Wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi 


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad