Jumba la Kifahari Alilojenga Marehemu Reginald Mengi kwa Ajili yake na Mkewe Jacqueline

 Mwili wa Marehemu Reginald Mengi umeshafikishwa kwenye nyumbani kwake Machame Kilimanjaro kwenye nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake na Mke wake Jacqueline ambayo ipo karibu kabisa na geiti la kupanda Mlima Kilimanjaro,  mwili wa Dr. Mengi utapumzishwa hapa hadi kesho utakapokwenda kuzikwa nyumbani kwa Mzee Abraham Mengi ambako ndiko alikozaliwa Marehemu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad