Justin Beiber aibuka na hili kuhusu Chris Brown “watu wanasubiria hadi mtu afe ndio wampe sifa”

Mwanamuziki wa marekani Justin Bieber amechukizwa na tabia ya rapa Eminem kuwa-diss rappers wapaya, Justin aliamua kumwambia ukweli kuwa anapenda flow zake lakini anachukizwa na tabia yake kupitia page yake ya instagram insta story aliweka ujumbe  huu “I JUST LIKE EMS FLOW BUT DONT LIKE THAT HE’S DISSING NEW RAPPERS I LIKE THE NEW GENERETION OF RAP HE JUST DOESN’T UNDERSTAND IT”



Justin Bieber amekua akipenda muziki wa  kizazi kipya cha Rap na kukisapoti ila kwa  kwa  Eminem imekua tofauti kwakwe kwa kutokielewa kabisa.

Lakini baada Justn Beiber kumdis Eminem ameamua kupost post ambayo inampa sifa Chris Brown akiweka picha inayowauganisha na wakali watatu ambao ni Michael Jakson, na Tupac Shakuru na kuandika maneno haya:-

everyone wants to wait til people die To give them the credit they deserve. I’m calling it now when CB passes away after a long full life, you will miss what you had in front of you the whole time … trust me watch you will see. the people who have over looked this mans talent because of a mistake he made.. you need to reevaluate! Love you @chrisbrownofficial

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad