Kocha wa Simba SC anyakua tuzo ya mwezi



Kocha Mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019 akiwashinda Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Mingange na Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alioingia nao Fainali.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad