Kocha wa Tottenham alizwa na majeruhi aliokuwa nao baada ya kupoteza dhidi ya Ajax,

Kocha wa Tottenham alizwa na majeruhi aliokuwa nao baada ya kupoteza dhidi ya Ajax, aahidi matokeo mchezo wa marudiano
Kocha wa Tottenham alizwa na majeruhi aliokuwa nao baada ya kupoteza dhidi ya Ajax, aahidi matokeo mchezo wa marudiano
Ally Juma   2 hours ago 104

Tottenham italazimika kubadili matokeo yake dhidi ya Ajax ili kuweza kutinga nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya baada ya kupoteza nyumbani katika awamu ya kwanza ya nusu fainali.



Klabu hiyo ya Uholanzi ilijipatia goli la ugenini wakati Donny van de Beek alipochukua pasi ya Hakim Ziyech na kumfunga kipa wa Spurs Hugo Lloris.

Fernando Llorente na Toby Alderwiredld wote walipoteza nafasi nzuri wakiwa peke yao.

David Neres wa Ajax karibu afunge goili la pili baada ya shambulio lake kugonga chuma cha goli.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad