Kutoweka Kwa Azory Gwanda ni Miongoni Mwa Visa 10 Duniani Vinavyohitaji Dharura



Mwanahabari Azory Gwanda aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha yapata zaidi ya siku 500 zilizopita, tukio lake limeorodheshwa miongoni mwa visa kumi vya dharura

Orodha hiyo iko chini ya kundi linalopigania uhuru wa vyombo vya habari na umoja wa vyombo huru vya habari Duniani

Kundi hilo linaundwa na makundi 30 ya wahariri na wachapishaji vikiwemo vyombo vya habari kama India Today, Reuters, Quartz na The financial times

Vyombo vingine ni TIME na Washington Post ambavyo kwa pamoja vinatoa matamko ya kuwatetea wanahabari waliohatarini
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad