Lipuli Waionyesha Mpira Yanga Yatwangwa 2-0 Bila Huruma

KLABU ya Lipuli imeiondoa Timu ya Yanga kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuipa kipigo cha bao 2-0, leo Jumatatu, Mei 6, 2019 kwenye Dimba Samora mjini Iringa.

Yanga wanatupwa nje, na Lipuli FC wanatinga fainali, sasa watakutana na Azam FC kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad