Lupita Nyong’o aiwakilisha vyema Afrika mashariki Tamasha la Met Gala Marekani

Tamasha la Met Gala, tukio lenye faida kwa Taasisi ya mavazi –Costume Institute at the Metropolitan Museum ya Art in New York, hutajwa kama moja ya tukio kubwa kabisha duniani la fasheni.

Linafahamika kwa orodha yake ya majina ya wageni maarufu wanaoalikwa , kushiriki ni gharama kubwa na zaidi ya yote nguo zinazovaliwa ni za ghali mno kulingana na mada ya mwaka.



Kwa mujibu wa BBC. Mwaka huu, mada hiyo ilikuwa ni Camp: Waraka kuhusu mitindo ya mavazi – inayoendana na onyesho lijalo katika katika Met, picha zilipigwa kwa kuzingatia inshailiyoandikwa na mpigapicha Susan Sontag mwaka 1964 iliyofahamika kama – Notes on Camp.

Hivyo basi Mavazi ya mwaka huu , sawa na onyesho yatazingatia “iujasiri, uchekeshaji , mtindo wa uandishi wenye vichekesh vya vibonzo , sanaa ya mtu mwenye kuigiza utunzi wa mwtu mwingine , kitu ambacho si halisi, maigizo na kuonyesha mambo kwa mtindo wa kupita kiasi “.

Na kumuonyesha kila mshiriki jinsi mambo yanavyopaswa kufanyika mwanzo kabisa alikuwa ni muimbaji Lady Gaga, aliyewasili akiwa ametinga gauni la rangi ya waridi linalopeperuka haikuonekana hivyo alipoingia.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad