Manara Ataambia Nini Watu? Kauli yake ya Kuhamia Yanga Liverpool Wakiitoa Barcelona Yawa Gumzo



Afisa habari wa club ya Simba SC Haji Manara ukiachilia mbalia kazi yake lakini ni shabiki mkubwa wa Simba na Man United ya England, kuelekea michezo ya nusu fainali Manara alitoa kauli kuwa kama Liverpool wataitoa Barcelona katika mchezo wa nusu fainali basi atahamia Yanga SC.

Manara amezoeleka kwa kupenda kuwacharua watani zao Yanga lakini baada ya Liverpool kuitoa Barcelona je Manra atahamia na kuvaa jezi ya Yanga kama watu wanavyotarajia? wengi wanasubiri May 8 2019 kuona Manara atatiza lini ahadi yake hiyo kwa maana Liverpool kaitoa Barcelona kwa kuifunga 4-0 (agg 4-3).

TAZAMA MANARA ALIYOTOA AHADI HIYO

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad