Manara: Sevilla hata mbele imuweke Messi imuazime na Ronaldo kwa Mkapa haitotoka

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ameishukuru kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa kwa kuleta timu kubwa kutoka La Liga, Sevilla FC na kujinasibu kuwa hata iwaongeze nyota hatari duniani Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kwenye kikosi chao wakijumuisha na klabu za Real Madrid na Barcelona kamwe hawatatoka salama kwenye uwanja wa Taifa na kusisitiza kuwa dimba hilo ni kaburi kwa timu zote zinazotoka nje ya nchi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad