Masauni: Hakuna ushahidi wa ajali iliyosababishwa na trafiki kuvizia barabarani
0
May 06, 2019
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa kumetokea ajali iliyosababishwa na askari wa usalama barabarani 'kujificha' wakiwa barabarani
Tags