Mshambuliaji huyo wa Chelsea ameshinda tuzo hiyo aliyokuwa akiwania pamoja na Bernardo Silva, Sergio Aguero na Raheem Sterling wa Manchester City pamoja na Sadio Mane na Virgil van Dijk wa Liverpool
-
Mchezaji huyo raia wa Ubelgiji amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura na mashabiki kutokana na uwezo aliuonesha msimu huu wa 2018/19 ambapo amefunga magoli 16 na kutoa pasi za magoli 15 katika Ligi Kuu ya nchini England
-
Tuzo ya ‘PFA Fans’ Player of the Year’ ni tofauti na tuzo ya ‘PFA Players’ Player of the Year’ ambayo mshindi huchaguliwa kwa wachezaji wa kulipwa(Manahodha) kupiga kura ambayo kwa msimu huu imechukuliwa Virgil van Dijk wa Liverpool - #regrann