Mfalme wa Thailand Amuoa Mlinzi Wake na Kumfanya Kuwa Malkia

Mfalme Maha Vajiralongkorn mwenye umri wa miaka 66 amemuoa Suthida mwenye umri wa miaka 40

Suthida ambaye kwa sasa ndiye malkia wa Taifa hilo aliwahi kuwa Mhudumu wa ndege kwenye shirika la Thai Airways kabla ya kupewa kazi ya kumlinda Mtoto wa Mfalme

Maha Vajiralongkorn alirithi ufalme wa Thailand mwaka 2016 baada ya Baba yake, Bhumibol Adulyadej kufariki dunia

Hii ni mara ya nne kwa Mfalme huyo kuoa 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad