Mke wa Askofu Gwajima Amkingia Kifua Mumewe “Mimi ni jasiri kama Simba, Mume wangu namfahamu”


Haya ni maneno ya Mke wa Askofu Gwajima “Mimi ni Jasiri kama Simba, ukweli ninaufahamu, Mume wangu ninamfahamu na ninamuamini, na ukweli huo hakuna anayeweza kuubadilisha, niko pamoja na yeye, nitasimama na yeye na Mungu akiwa upande wetu hakuna atakayeweza kuwa juu yetu‘’.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad