Mkewe mwanamfalme Harry wa Uingereza ajifungua mtoto wa kiume

Mwanmfalme Harry amesema kuwa yeye na Meghan "wanafuraha iyokuwa na kifani" baada ya mtoto wao wa kwanza kuzaliwa.

Amewashukuru wote waliyowapatia usaidizi kipindi cha ujauzitio wa mke wake.

Amesema Meghan na mtoto wao wako katika ''hali nzurI Jinala toto halijatolewa.

"Bado tunafikiaria jina tutakaliompatia," Mwanamfalme Harry aliwaambia wanahabari.

"Nadhani tutakuwa na tumepata jina katika kipindi cha siku mbili - kama ilivyopangwa - na kama familia tutawafahamisha jina lake na kila mtu amuone mtoto."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad