Mtanzania Apokea Zawadi Kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)

Mtanzania Dk Askwar Hilonga wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Arusha amepokea zawadi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kubuni njia ya kusafisha maji kwa kutumia 'nanotechnology.' Amepewa zawadi hiyo katika mkutano unaoendelea Jijini Geneva, Uswisi. 


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad