Mwili wa Dkt. Mengi Wawasili Kilimanjaro....Maelfu Ya Watu Wafunga Barabara

Katika Hali isiyotarajiwa mkoani Kilimanjaro maelfu ya Watu wamejitokeza kuupokea mwili was Dkt Mengi.

Hali hiyo imesababisha msafara Kupata Ugumu wa kuendelea Hadi kufikia Hatua Nguvu ya Polisi Kuongezwa ili kuwasogeza Watu waliojaa barabarani.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad