Nyota wa Wars afariki dunia

Mwigizaji wa siku nyingi kwa upande wa Filamu, Peter Mayhew amefariki nyumbani kwake Texas akiwa na umri wa miaka 74.

Taarifa kutoka ndani yake familia yake imesema Peter alifariki jioni ya April 30 nyumbani kwake Texas akiwa amezungukwa na wanafamilia.

Muigizaji huyo kutoka nchini Marekani alijizolea umaarufu mkubwa pindi alipoingiza  kama Chewbacca kwenye filamu za StarWars.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad