Nyota Yako Leo Ijumaa 24 May 2019

NYOTA YAKO LEO IJUMAA 24/MAY/ 2019:

🔯NG'OMBE– (April 21- May 21)
Leo kuna kila dalili ya kuwa mambo yako mengi yatafunguka au kushamiri kwa muda usikate tamaa kwa mambo yanayokukuta hivi sasa kwa kuwa hali hiyo ni hali ya muda mfupi tu.

🔯MAPACHA- (May 22– Juni 21)
Leo mambo yako mengi yatakuwa kizani Unashauliwa kuwa muwazi kwa kila jambo unalotaka kulifanya usiri wowote unaweza kukusababishia hasara ambayo hukuitegemea hali ya kiza itakuondokea hivi Karibuni.

🔯KAA– (Juni 22- Julai 23)
Hakuna dalili ya kuchukiwa na watu kama unavyofikilia jaribu kuwa mwangalifu nyakati za jioni Unashauliwa kutotoka kwa matembezi nyakati hizo.

🔯SIMBA LEO- (Julai 24– Agosti 23)
Leo kuna mtu atakutembelea au utakutana nae ghafla ujue dalili kuwa Wewe si mtembeleaji wa wenzio Unashauliwa kuwa mtembeleaji wa wenzio ili kuvuta bahati yako.

🔯MASHUKE- (Agosti 24– Septemba 23)
Leo kuna dalili ya kurudi kwa mpenzi wako unayempenda au rafiki yako unayemuamini kwa kila kitu kuna watu watakuja kutaka kukupa msaada jitayarishe kuwapokea.

🔯MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Leo kuna wasiwasi kwamba mambo yako yataingia mkosi na nuksi hasa kama ulikuwa unamtegemea mtu mwingine kukufanyia hayo mambo yako Unashauliwa kufanya mipango ya safari haraka iwezekanavyo.

🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Leo huko uendako ni salama Unashauliwa kuwa mkali kwa kila jambo litakalokutokea kwani ukiwa mkimya kidogo tu litakusababishia kesi kubwa au kipigo.

🔯MSHALE– (Novemba 23- Desemba 21)
Leo jitahidi kujihudumia Wewe mwenyewe na msaidie anayetaka msaada wako hali hii itakuletea bahati utapata habari nzuri za kuaibika kwa adui yako usisikilize maneno ya kuambiwa.

🔯MBUZI– (Desemba 22- January 20)
Leo kuna habari utaletewa zitakazokutatanisha kuhusiana na kazi jitahidi kuchunguza habari hizo na uzifanyie kazi inavyotakiwa hii ni wiki ya neema hasa katika masuala ya mapenzi.

🔯NDOO– (January 21- February 19)
Leo unaweza kupata habari kwamba uhusiano wako wa karibu ulikuwa nao kati yako na mpenzi wako utateteleka pamoja na hayo utapata habari nzuri za kufurahisha.

🔯SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo mambo yako mengi yatakwenda kwa kutumia nguvu hasa kwa watu unaofanya nao kazi pia ni dalili ya kuvunjika kwa safari ya mtu uliyemtegemea kufika hivi karibuni.

🔯PUNDA– (March 20- April 20)
Leo kuna dalili ya kushangiliwa kwa kila utakalolisema kwenye majadiliano utakayo hudhuria kuna habari nzuri zitakufikia muda wa jioni zile pesa ambazo unazisubiri ziko njiani zinakuja na utazipata.                                                  ________________________________________________SHEIKHE ISAYA MWENYE UWEZO WA KUFANYA dua na visomo atakusaidia katika mambo yafatayo, kusafisha nyota, kuondoa nussi mikosi kutoa majini wabaya, kukuza biashara, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk  SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040       www.tumainitibaasili.co.tz
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad