Picha: Mbunge Masele mbele ya Kamati ya Bunge

Mbunge wa Shinyanga mjini na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele akiwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge jijini Dodoma kujibu tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad