Rais Magufuli kumaliza ziara yake Mbeya leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Magufuli leo anatarajiwa kumaliza ziara yake ya kikazi mkoani Mbeya.

Leo ataweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya (MUST) na atazindua upanuzi wa kiwanda cha saruji cha Mbeya.

Rais Magufuli amefanya ziara mkoani huko kwa siku nane mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini Malawi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad