Rose Ndauka Amwagia Sifa Mchumba wa Mc Pilipili Asema Amepata Mke Mzuri

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Rose Ndauka ameomba kazi ya kumfanyia usafi kwenye saluni yake ya Connexion mchekeshaji MC Pilipili ikiwemo kumnyoa ndevu na huduma nyingine.



Kwa upande mwingine, Rose Ndauka ambaye aliwahi kuwa Girlfriend wa MC Pilipili amemsifia pia mchumba wa sasa wa MC Pilipili kwa kusema ni mzuri sana kwa muonekano.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad