Web

Ruby "Wakati Nipo Kings Music Nilifanyiwa Visa Sana...Ruge Alimleta Nandy ili Waniue"

Top Post Ad


"Wakati nipo Kings Music nilifanyiwa visa, mwanzoni tulikuwa Mimi, @themafik_ na @officialshetta baadae wakamleta @officialnandy na @aslayisihaka "

"Nilitumiwa Post ya performance jioni nikatumbuize Usiku, Ili waseme tu sijajipanga"

"Boss Ruge alikuwa ana akili sana tuseme ukweli tu, Alimleta Nandy Kings Music ili wanichallenge sijui au waniue"

"Na hata alivyomleta kwenye Management bado alikiwa anataka kumsimamia, Hakwenda kwenye show lakini akatetewa"

Ameyasema hayo @iamrubyafrica katika interview na #wasafiFM 

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.