Simba Furaha Tupu, Yaingiziwa Kwenye Account Bilion 1.5 Kutoka CAF

 Imeelezwa kuwa klabu ya Simba imepokea dola 325,000 ambazo ni zaidi ya milioni 749 za kitanzania kutoka Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kama nusu ya mgao wao wa kuingia hatua ya robo fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu huu.

Kuingia hatua ya robo fainali kuliifanya Simba ijipatie jumla ya mgao wa dola 650,000 ambazo ni sawa na bilioni 1.5 za kitanzania.

Simba ilitinga hatua ya robo fainali kwa kuifunga AS Vita mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ikiwa ni baada ya kupoteza ugenini kwa mabao 5-0.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad