Tanzania kuongeza Idadi ya Watalii Kwa Kutumia Magari Ya Kutumia Nyaya

Tanzania kuongeza Idadi ya Watalii Kwa Kutumia Magari Ya Kutumia Nyaya
Tanzania inataka kuongeza idadi ya watalii kwa kupitia magari ya kutumia nyaya (Cable Transport) katika mlima Kilimanjaro na tayari imeanza mazungumzo na kampuni moja ya China na nyengine ya magharibi.
.
Naibu waziri wa Utalii, Constantine kanyasu ameelezea kuwa Takriban watalii 50,000 hupanda mlima Kilimanjaro kila mwaka lakini gari la kutumia nyaya linaweza kuongeza idadi ya watalii kwa asilimia 50 kupitia kuwawezesha wale wasioweza kupanda mlima huo kwa miguu.
.
Kwasasa uchunguzi bado unafanyika kuhusu njia salama zitakazotumiwa na magari hayo ambayo hutumiwa zaidi kwenye nchi za Sweden, Itali na Himalayas.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad