Tazama Video Jinsi Mabweni ya Shule ya Ashira Yanavyoteketea kwa Moto, Mwanafunzi Analia Juma Atoke ndani


Mabweni ya Shule ya Sekondari wasichana Ashira, iliyopo Marangu Mkoani Kilimanjaro yanateketea kwa moto. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akieleza kuwa Askari wa Kikosi cha Zimamoto wanaendelea na jitihada za kuuzima.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad