Timu ya Simba Wakutana na Kichapo Ligi Kuu



Timu ya Simba SC leo wamepoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Kagera Sugar kwa goli 1-0.

Kagera amejipatia goli kunako dakika ya 62 ya mchezo mara baada ya mchezaji wa Simba Mohamed Hussein kujifuga wakati akiokoa mpira.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad