TLS wampelekea Spika Ndugai zawadi

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi ya ‘note book’/daftari ndogo ya dondoo kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Rugemeleza Nshala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad