Uingereza kushiriki Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya

Serikali ya Uingereza imethibitisha kwamba itashiriki katika Uchaguzi wa bunge la Ulaya, Uchaguzi huo utafanyika tarehe 23 ya mwezi huu.

Baada ya kusogezwa mbele kwa mara nyengine kwa tarehe ya Uingereza kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit.

Uingereza ilikuwa imepanga kuwasilisha makubaliano kupitia bunge kabla ya tarehe ya uchaguzi kwamba isishiriki uchaguzi huo, Lakini kutokana na hilo thibitisho jambo hilo sasa si la kujadiliwa tena.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad