Ukijirekodi, Ukisambaza Video za Ngono, Faini Mil 30, Hukumu Miaka 10 Jela” Mwanasheria

IKIWA NI MEI 8, 2019 KATIKA UCHAMBUZI WA KISHERIA INAELEZWA KUWA NI KOSA LA JINAI KWA MTU YEYOTE KUTENGEZA, KUCHAPISHA AMA KUSAMBAZA PICHA ZENYE MAUDHUI YA KINGONO KUPITIA MIFUMO YEYOTE YA KIELEKTRONIKI AMBAPO ADHABU YAKE NI FAINI YA MIL.30 AMA MIAKA 10 JELA ENDAPO UKITIWA HATIANI.

MSIKILIZE MWANASHERIA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad