Ulikuwa Unajiuliza Lowassa Yupo Wapi...Aibukia Ujerumani na Mkewe


Waziri mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwa na mkewe Mama Regina Lowassa nchini Ujerumani. Mhe Lowassa yuko nchini Ujerumani kwa shughuli zake mbalimbali.

Hata hivyo baada hahijaelezwa kitu gani kilichompelea kiongozi huyo wa zamani nchini humo hadi kufikia sasa.

Lowassa hajaonekana hadharani kwa kipindi kirefu tangu alipotangaza uamuzi wake wa kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichompa dhamani ya kugombea Urais mwaka 2015.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad