VIDEO: Dunia Imekwisha..Wakamatwa na Mafuta ya Binaadam/ Polisi Watinga kwa Mkemia Mkuu


Kamanda wa polisi Mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amethibitisha kukamatwa kwa watu wawili walio julikana kwa majina Swedi Haruna  na Mani Sabasaba mkoani Tabora wamekamatwa na mafuta ya binadam  yaliyokuwa yanatumika katika imani za kishirikina.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad