VIDEO: Kilichowapa Ubingwa wa Man City mechi ya Mwisho, Mchambuzi Abbas Pira Afunguka



Mchambuzi mahiri Abbas Pira ameichambua kiufundi mechi ya mwisho ya Manchester City kwa msimu huu katika ligi kuu ya Uingereza ambao walikuwa ugenini dhidi ya Brighton and Hove Albion. Katika mchezo huo Man City wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 na kufanikiwa kushinda taji la ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad