VIDEO: Kisa Kukosoa Maandiko ya Biblia , Nabii Amtaka Msanii Nikki wa Pili Atubu


Nabii wa Kanisa la Ufukufu kwa Bwana amemtaka Rapa maarufu nchini, Nikki Wa Pili kutubu kutokana na kauli yake aliyoandika kwenye akaunti yake ya Twitter hivi karibuni juu ya uumbaji wa Mungu kwa kusema kuwa huenda binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke badala ya mwanamme kama maandiko yanavyosema.



Nikki alisema kuwa maneno ya kwenye biblia yanayosema binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu alikuwa ni mwanamme yanatokana na hali ilivyokuwa kwa wakati ule, na yalikuwa ni ya kimfumo dume.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad