VIDEO: Mbowe Aeleza Sababu za Kutokuwepo Wakati Dkt Mengi Anaagwa Dar


Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai Freeman Mbowe amesema kuna jambo hajalipenda jambo ambalo limesemwa kuwa watu wa kabila fulani hawawezi kutoa msaada kwa walemavu.

Kauli iliyotolewa na RC Makonda katika ukumbi wa Kareemjee Jijini Dar es Salaam "haiwezekani mchaga kutoa msaada kwa walemavu"

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad