Yanga SC Wazidi Kutisha Katika Usajili


Yanga SC Wazidi Kutisha Katika Usajili
Issa Bigirimana baada ya kusaini hapo jana.

Beki wa kati mzaliwa wa Accra Ghana, Lamine Moro  amwaga wino kuwatumikia mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga sc.

Hadi kufikia sasa wachezaji waliosajiliwa Yanga mpaka sasa.
1. Patrick Sibomana
2. Issa Bigirimana
3. Abdulaziz Makame
5. Mohammed Ali Camara
5. Ally Sonso
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad