Zari atoa misaada kwa watoto Mbagala, azungumza haya

Mfanyabiashara wa Uganda na mpenzi wa zamani wa nyota wa muziki wa bongo nchini Tanzania Diamond Platnumz, Zari Hassan amefanikiwa kutoa misaada katika hospitali ya mbgala jijini Dar Es Salaam kwa watoto na akina mama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad