ACT -Wazalendo Wapata Pigo Kubwa, Diwani Wake Afariki Dunia

Chama cha ACT-Wazalendo kinasikitika kutangaza kifo cha Diwani wake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Ndg. Tumaini Bigilimana maarufu kama Aunt Fifi ambacho kimetokea leo tarehe 03 Juni 2019 katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Jijini Dar es Salaam. 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad