Agizo Alilotoa Rais Magufuli Baada ya Kukutana na Wauza Kahawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wauza kahawa katika eneo la Soko la Ferry ambapo aliagiza kuboreshwa kwa sehemu ya biashara hiyo kuanzia siku ya kesho. 


Rais Magufuli ametoa agizo hilo leoJuni 3, 2019 wakati akizungumza na wafanyabiashara wa soko la samaki la Feri Jijini Dar es Salaam baada ya kufanya ziara ya kushtukiza sokoni hapo. 


 Akiwa katika soko hilo la Feri, Rais Magufuli amenunua samaki kutoka kwa wafanyabiashara wadogo wanaotumia vitambulisho vya wajasiriamali na amewapongeza kwa juhudi zao za kujitafutia kipato halali. 




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad