Airtel Yatoa Gawio la Billion Tatu kwa Serikali

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel imetoa gawio la miezi mitatu ambalo ni shilingi Bilioni tatu kwa Serikali ya Tanzania ikiwa ni matokeo ya majadiliano ya umiliki yaliyofanyika kati ya Serikali na kampuni hiyo.

Pia jumla ya shilingi Bilioni 2.270 zimetolewa na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bharti Airtel, Sunil Mittal ikiwa ni mchango binafsi kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad