WACHEZAJI saba miononi mwa wachezaji 32 wa timu ya taifa, Taifa Stars, waliokuwa waondoke kwenda kuweka kambi nchini Misri kwa ajili ya fainali za Kombe la Afrika ambazo zitafanyika nchini humo mwezi huu, wameachwa na kocha. Misri. Wachezaji waliomo katika msafara huo ni:
Magolikipa
1-Aishi Manula (Simba SC)
2-Metacha Mnata (Mbao)
3-Aron Kalambo (Tz Prisons)
4-Seleman Salula (Malindi)
5-Claryo Boniface (U20)
Mabeki
6-Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
7-Vincent Philipo (Mbao)
8-Gadiel Michael (Yanga)
9-Mohamed Hussein (Simba)
10-Ally Sonso (Lipuli)
11-Erasto Nyoni (Simba)
12-Kelvin Yondani (Yanga)
13-David Mwantika (Azam)
14-Aggrey Morris (Azam)
15-Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)
Viungo
16-Himid Mao (Petrojet, Misri)
17-Mudathir Yahya (Azam)
18-Feisal Salum (Yanga)
19-Fred Tangalu (Lipuli)
20-Frank Domayo (Azam)
Winga
21-Simon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
22-Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)
23-Farid Mussa (Tenerife, Hispania)
24-Miraji Athumani (Lipuli)
25-Yahya Zayd (Ismaily, Misri)
Washambuliaji
26-Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
27-Shaban Idd Chulunda (Tenerife, Hispania)
28-John Bocco (Simba)
29-Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
30-Kelvin John Mbappé (U17)
31-Rashid Mandawa (BDF, Botswana)
32-Adi Yussuf (Solihull Moors, England)
Walioachwa
Ajib Migomba (Yanga)
Mkude Jonasi (SIMBA SC)
Kapombe Shomari (SIMBA SC)
Kennedy Wilson (Singida Utd)
Kasim Khamis (Kagera sugar)
Ayubu Lyanga (Coastal Union)
Ally Ally (KMC).