Alichosema TID Baada ya Kuvamiwa na Kujeruhiwa na ANAODAI ni Majambazi


Habari kubwa kwenye burudani leo Juni 20, 2019 ni kuhusiana na issue ya mwimbaji TID kupigwa na kundi la watu ambao wamemjeruhi maeneo kadhaa ya mwili wake.

TID mwenyewe ameeleza kuwa amevamiwa na majambazi na kupigwa.

 ''It's so Sad Jambazi anaeza kukufanyia chochote sababu yeye Jambazi na Yuko na Back Up za Kijambazi''. Ameandika TID huku akiambatanisha picha zake zikionesha baadhi ya majeraha.

Zaidi sikiliza na kutazama baadhi ya pole ambazo amepewa na wasanii kama Fid Q ,baada ya kupost picha zake akiwa amejeruhiwa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad